Balozi kula Valentine na 'wana'
Victoria Martin mrembo anayeshikilia taji la Balozi wa Redds anatarajia kula chakula na watoto yatima siku ya wapendanao 'Valentine Day'
...Weingi hutumia siku hiyo kusherehekea na watu wanaowapenda, mimi kutokana na mapenzi yangu kwa watoto yatima nitaitumia siku iyo kuonyesha mapenzi yangu kwao...alisema Vicky
Alisema ana mapenzi makubwa na watoto yatima hususan wale wanaoishi katika mazingira magumu hivyo atakula nao pamoja na kuwafariji .
Victoria ni balozi wapili wa taji hilo ambalo mwaka jana lilikuwa chini ya Jokate Mwigole ambaye nae alifanikiwa kumfunika hata Miss Tanzania Wema Sepetu kwa ufanyaji wakazi za kijamii ambapo yaonekana sasa nae Vicky akimfunika Richa Adhia
Kunani na taji hili?!!!

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala