KINDERGATEN
Mtunzi:John Kalage
Mtayarishaji:John Kalage
Waigizaji:Zena "kalunde na Kashinde",Pampula,Haji,Mrisho mpoto,Rich Rich,Aziz
Kalunde na Kashinde ni watoto mapacha ambao wananunuliwa viatu ambavyo vinakuwa ndo tatizo kwani viatu hivyo vilikuwa vinahitajiwa na majangili ambapo hadi mwshi sikuelewa vilikuwa na nini, ili kupata viatu hivyo waanza kuwafuatilia watoto hao shuleni na kupelekea kumteka mmoja wao waliyeamini anacho hicho kiatu na ndipo sekeseke lilichanganyia pale walipogungua kumbe yule mtoto waliyemteka hakua na kiatu na kumuamrisha baba wa mtoto awaletee kiatu kingine ndipo tafrani lengine likazuka huku mama wa watoto akimlaumu mumewe kuwa kuna watu amekosana nao na wanamlipizia kisasi , lakini pia yule mtoto aliyebakishwa alikuwa na juhudi za kumuakoa mwenzie pale alipoa wale maharamia wanakuja kwaokusaka kile kitu ndipo walipojipanga na mtoto mwenzie na kuwachezea akilimaharamia hao kwa kutega mitego tofauti hadi pale mtoto alipofanikiwa kuwatoroka maharamia wale na kufika nyumbani salama salimini...ila tatizo lilikuwa kiatu tu
 |

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala