Tafuta DHWTangazaTuandikie
KIAPO CHA DAMU

KIAPO CHA DAMU
Mtunzi:
Muongozaji:Vincent Kigosi
Waigizaji:Tea,Bi Mwenda,Johari,Mainda, Shumileta, Magari

Ni familia ya mama na watoto watatu ambayo waliamua kula kiapo na mizimu ,Tea anachemsha kwa kuolewa na mchungaji na kuokoka kuachana na masuala hayo ya mizimu na kusahau aliahidi kuwa watoto wake atawatoa sadaka kwa mizimu na mama yake kuendelea anamuua mtoto wake wa kwanza na kumpeleka kwa mizimu, kasheshe inakuwa mtoto wa pili ambapo aligoma katakata na kuanza kupambana na mama yake pamoja na wadogo zake ambao walikula nae kiapo, ila hilo likawa linamkwaza mdogo wake wa mwisho mainda na kuamua kumueleza mkweli shemeji yake kuhusiana na kiapo hiko na ikawa mwisho ya hayo yoote kwani walipambanishwa na nguvu za mungu na wakawa safi


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.