Nidhamu ndio silaha yetu
kiongozi wa kundi la Ze Comedy Isaya Mwakilasa almaarufu kama Wakuvwanga amedai kua nidhamu ndio silaha yao kubwa inayowafanya wadumu hadi leo
Akiongea na darhotwire Wakuvwanga ambaye anafahamika kama waziri mkuu aliyejiuzuru au Mama beleee alisema nidhamu ndo silaha ya kundi lao kuwepo hadi leo
Kumekuwa na udaku wa mara kwa mara unavumishwa kama sie tumesambaratika kutokana na didhamu yetu hilo itakuwa ngumu
..Tofauti yetu na wachekeshaji wengine ni hiyo tu nidhamu na wote kujiona level moja hakuna super star wote ni wamoja na ndio maana kiapokuwepo mwnzetu mmoja nasisi wote tu...alisema Wakuvwanga
Na walidokeza kinachowapa kiburi cha kuwaigiza watu ni kutokana na kuwa na uhakika na wanachoigiza na ushahidi wa vithibitisho na kuzingatia kuelimisha na kukosoa pamoja na kuburudisha kwa watati mmoja
Msomaji wa safu hii endelea kuzuru ukurasa huu ili upate makala za viumbe hawa hivi karibuni.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala