Tafuta DHWTangazaTuandikie
FUNGU LA KUKOSA

Fungu la kukosa

Waigizaji:Riyama ally,Dimoso
mtunzi:A Tamba Arts

Fungu lilikokaa penzi la dhati penzi la usaliti, penzi lenye vishawishi,Rita aliweka tamaa ya pesa mbele akasahau utu,hakujua amekimbilia katika fungu la kukosa..Riyama anatoka kwenye maisha ya tabu na kubahatika kupata mambo safi lakini sababu alishapangiwa fungu la kukosa nako anajikuta anaharibu na kubaki mtupu...Filamu hii imetoka sehemu yake yapili tuisake tuje tuisasambue


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.