Sanaa ni mafuta yang'aayo
Machi 7 ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa patakuwa hapatoshi, kwani kutasheheni maonyesho ya Sanaa ya Uchoraji wa Vinyago.
Maonyesho hayo yanatarajiwa kufunguliwa kesho usiku lakini wataotia timu kesho ni wale waliopewa kadi za mwaliko, na yatajiri ndani ya mudpia tu halafu kwa muda wa wiki tatu zijazo yatakuwa wazi kwa Watanzania wote. Kiingilio BURE.
Maonyesho hayo yataanza rasmi kesho usiku na yatajiri kwa muda wa wiki tatu yaani kuanzia hiyo kesho Machi 7 hadi 26.
Pia msanii mwanamke wa fani ya uchoraji Mwandale Mwanyekwa
atapamba maonyesho hayo kesho, akishirikiana na Pili Mtonga, Hawa Jarufu pamoja na Pudenciana Mwamalumbili.
Sanaa ni kama mafuta yang'aayo yanayopakwa ili kuongeza thamani ya sanaa, na baada ya wiki tatu zijazo mashindano hayo yatakuwa wazi kwa Watanzania wote na kiingilio kitakuwa ni bure.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala