Tafuta DHWTangazaTuandikie
JOHARI I & II

Mtunzi: Kanumba
Waigizaji:Kanumba,Ray, Johari, Mainda
Muongozaji:Ray

Johari na Mainda ni marafiki waliokuwa pamoja na kusoma pamoja, wakiwa shuleni Kanumba anatokea kumpenda Johari na kumbembeleza awe mpenzi wake ambaye Johari anaona kanumba kamfai kwani alikuwa anampenda Ray ambaye alikuwa ni kaka mkubwa mwenye kazi na uwezo wake, bila kutambua kuwa Ray anatumia pesa zake kuwaghilimu wasichana tofauti na kutoka nao kimapenzi ambao wanamuambukiza maradhi ya ukimwi. Nae Mainda anampenda Kanumba ambaye anashindwa kumpa nafasi moyoni mwake kote amejaa Johari,Mwisho wasiku RJohari anagundua maovu ya Ray na kuamua kujinasua kwenye penzi hilo na Ray anamwambia kwa Kebehi umeisha Johari kwani anajua alishamuambukiza maradhi, bila kujua anamkubali kanumba ambaye hajui kama Johari ameadhirika nae kuja kustuka anajikuta ameshaambukizwa akistuka arudi kwa Mainda, Mainda nae keshastuka kuwa Kanumba kaukwa si anajua mienendo ya shoga ake nae huku Johari yupo njia panda hajui aolewe na Ray au Kanumba


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.