Tafuta DHWTangazaTuandikie
WHY ME

WHY ME
Mtunzi: Kulwa Kikumba “Dude”Muongozaji..
Waigizaji: Dr Cheni, Hawa, Bi Mwenda; Tea

Baba wa cheni anajitumbukiza kwenye mapenzi na kimada ambayeanamsababishia matatizo kazini na kuwafanya Cheni na mdogo wake kuishi maisha ya taabu.

Hadi alipokuja pata mafanikio ya baba yake na maisha kuwa super, mama yake Bi Mwenda akalogwa na kimada wa baba yao kwa ajili ya zile mali ndipo inapowabidi waende hospitali kumtibu mama yake ndipo anapokutana naye.

Hawa mbaye alisoma naye na kuweza kuwa na mahusiano ya karibu, kitu kilichopelekea mpenzi wa Hawa kutia shaka kwanza na kuanza kuwafuatilia kwa karibu huku wakuu wakiwa wametoka dinner.

Anampiga hawa bastorla wakati huo huo Cheni anakua kashamvisha peteya uchumba Tea. Hapo awali Tea alikuwa na mpenzi wake ambeye alikwenda ulaya na akawa umerudi Tanzania kwa nia ya kumfuata Tea ili waweze kuoana, ndipo alipomshawishi Tea amuache cheni nae akamkataa Cheni kanisani na kumfuata Jimy.

Baada ya hapo akakuta Jimy kasha kipa zake ulaya akawa kaachwa kwenye mataa, huko kanisani baada ya kuachwa Cheni akarusha ua na likaweza kuanguka kwa Hawa ambaye ni yule mpenzi wake.

Baada ya kumpiga risasi alipata ajali na kufa, wakafunga ndoa na Hawa japokua Tea alimbembeleze sana Cheni amsamehe, lakini Cheni akagoma kumsamehe Tea na kufunga ndoa na Hawa siku ya ndoa Cheni.

Siku ya ndoa hiyo ya Cheni na Hawa, Tea alijitokeza huku akiwa na bastola, na kumfyatulia Hawa na kufa ndipo Cheni alianza kujiuliza Why Me kwanini yeye.



 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.