Tafuta DHWTangazaTuandikie
Johari ndani ya picha za utupu

Yule Msanii wa filamu hapa nchini Blandina Chagula 'Johari' ajikuta katika wakati mgumu sana, baada ya picha yake kubandikwa katika mtandao mchafu.



Msanii huyo amekuwa kama akikumbwa na jinamizi tangu kuripotiwa kwamba aliwahi kupiga picha za utupu, akidaiwa kwamba anataka kufunga ndoa na msanii mwenzake Vicent Kigosi 'Ray'.

Mtandao huo uliobandika picha za msanii huyo umejitwalia umaarufu wa juu kutokana na kutembelewa na watu wengi wa hapa nchini na hata nje ya nchi pia.

Hadi leo hii picha za baadhi ya wasanii zilizowahi kuning'inia kwenye mtandao huo ni Ndumbangwe Misayo 'Teya' Rukia Bruno, Winter wakiwemo na wengine nyomi.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.