Tafuta DHWTangazaTuandikie
Miss Tanzania wajazwa mapesa



Kampuni ya Simu za mkononi inayodhamini shindano la
Miss Tanzania ,Vodacom, limeongeza dau katika
udhamini wake wa mwaka huu

Akiongea jijini Meneja udhamini na Mawasiliano,
Ephraimu Mafuru alisema kuwa mwaka huu kampuni
yake itatumia sh.milioni 600 kudhamini shindano hilo

"Nia ya kuongeza zawadi ni kuyapa hadhi mashindano
haya ambayo wengine bado wanayachukulia ni uhuni na
kutaka wazazi wawaruhusu watoto wao washiriki kwa
wingi" alisema Mafuru.

Alisema udhamini huu utaanzia ngazi ya kitongoji na
kanda na kitaifa kama ilivyokuwa miaka iliyopita,Mwaka wa kwanza wa udhamini wa Vodacom walianza na mrembo Wema.

Haya warembo jinoeni mwaka wakutoka huo!!


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.