BETRAYAL....USALITI
BETRAYAL....USALITI
Mtunzi:Mussa Banzi
Waigizaji:Zulfa Hassan,Ramadhan Ally,Angela John , Ibrahim mbwana
Muongozaji:Mussa Banzi
"Nilinyanyua kiganja cha mkono wangu kufuta matone ya machozi yaliyokuwa yanatiririka mashavuni mwangu sikuamini macho yangu kama Deo amefikia hatua ya kunisaliti"Zulfa huyo anasema hayo baada ya Ibrahim kumuaga kijijini kuwa anakuja mjini kusaka maisha mazuri ili waje kuishi maisha bora pindi watakapooana, baada ya kukaa muda mrefu bila mawasiliano anaamua kwenda mjini kumsaka ndipo anapogundua kuwa Ibra amemsaliti kwani anaishi kwa mwanamke na kawekwa ndani na angel akiwa kama Mwanaume kama binti akipewa kila kitu .

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala