Mapishi ya nyama ya ng'ombe na maharagwe
Mahitaji
- Maharagwe gramu 350
- Nyama ya ng'ombe gramu 150
- Chumvi gramu
- Chembechembe za kukoleza ladha gramu 8
- Sukari gramu 5
- Pilipili hoho gramu 5
- Vipande vya vitunguu maji gramu 3
- Mchuzi wa sosi gramu 3.
UPIKAJI WENYEWE
1. Kata nyama iwe vipande koroga nyama pamoja na wanga.
2. Washa moto na umimine maji kwenye sufuria baada ya kuchemka, weka maharagwe kwenye maji na ukoroge na uyapakuwe. Kisha weka mafuta kwenye sufuria, halafu tia vipande vya nyama kwenye sufuria, korogakoroga vipakue.
3. Washa moto tena na uweke pilipili hoho na kisha ukoroge, halafu tia maharagwe korogakoroga na uwekevipande vya nyama, tia chumvi, chembechembe za kukoleza ladha, mchuzi wa sosi, korogakoroga, tia sukari korogakoroga, halafu mimina maji ya wanga korogakoroga, ipakue, mpaka hapo kitoweo hiki kiko tayari kuliwa.
Imeandaliwa na CRI

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala