Remtulla aja kivingine 2008
Maonesho makubwa ya ubunifu wa mitindo ya Kiafrikaa, Ulaya na India yanatarajiwa kufanyika mwezi ujao ,jijini Dar es Salaam
Akiongea na Darhotwire muandaaji wa onesho hilo ,Ali Remtula amesema kwamba maonesho hayo yatakuwa ya aina yake kwani yatashirikiha mbunifu na mwanamitindo ambaye hajawahi shiriki onesho lolote hapa nchini.
Alielezea nguo zitakazooneshwa siku hiyo zitakuwa za aina mbalimbali ukiachilia hizo asili tatu pia kutakuwa na nguo fupi na refu za kawaida na za kiofisi
Hili litakuwa onesho la pili la Ally la kwanza lilikuwa ni Prisma Break ambalo lilifana akiwa kama mbunifu mchanga, hakika hili litafunika kwa sana
Haya ally twasubiria sijui utalibatiza jina gani?

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala