Tafuta DHWTangazaTuandikie
MAMA MWENYE NYUMBA


Mtunzi:Mwananchi Video Production
Muigizaji:Mariam Lameck,Khadija Yarok,Hussein Karanda
Muongozaji:Saluma Karanda

Ni jinsi gani Binadamu tulivyogubikwa na tamaa ya kupata pesa kwa kuwatoa wenzetu, yaliyomkuta mama Chaudele kumtoa mwanandani wake kama kafara ikiwa ni siri ya yeye na mganga Husein lakini kilichotokea baadae haikuwa siri,kwani watoto wa mume wamama Chaudele wanakuja kutoka kijijini kuja kumtafuta baba yao na wanafikia kwa mama Chaudele kutokana na ramani waliyopewa lakini Mama anawaambia hamtambui huyo mtu ila akawapa makazi wapate kukaa na kumsaka baba ya wakiwa ndani ya nyumba mama anashindwa ficha makucha na anaumbuliwa kuwa ni mchawi...kumbe mama mwenye nyumba mwanga


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.