Kaole watemwa tena?
Eti baada ya mgogoro ya kundi hilo kutoisha nayo luninga inayorusha michezo yao kwa sasa nayo inasemekana imewatema baada ya ile ya awali kufanya hivyo
Kwa kujibu wa habari za mtaa zinadai kundi hilo halipo tena katika luninga hiyo iliyobadili jina siku za karibuni
...inasemekana jamaa hata kiwango chao kimeshuka kutokana na kutwa kuzozana masuala ya maslahi na kushindwa kutilia mkazo kazi yao, jamaa kila wapatapo wasaa wakuzungumza na vyombo vya habari wamekuwa wakiongelean maslahi yao zaidi kitu ambacho kinawacos..
Hata hivyo wiki iliyoisha mmoja wa viongzoi wa kundi hilo alikuwa anahojiwa katika luninga hiyo na kudai kuwa wanakuja na igizo walilolipa jina la FUNIKO, wakidai litachezwa na chipukizi tu na kuondoa masuperstaa
Swali likabaki je igizo hilo ni dongo kwa kina Ray na Kanumba,Johari na wengineo....jibu tulisubiri luningani sasa kama ndo nahuko kimewaka sijui itakuwaje?!!

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala