Tafuta DHWTangazaTuandikie
MCHANGA WA MACHO

MCHANGA WA MACHO

Mtunzi:Thabit Abdul
Muongozaji:Issa Mussa 'Cloud'
Waigizaji:Banza,Ali Choki,Bi mzungu, Samira

Msichana Samira ambaye alipendwa na wavulana wengi wakiwemo mafukara na majajiri, anahadaika na dunia na kumtosa mpenzi wale Banza na kuzama katika penzi la Suleyum ambaye anakipato cha chini
Lakini kutokana na pupa zake kama wahenga walivyosema mwenye pupa daima hadiriki kula tamu , penzi la Samira kwa suleyum linakuja kuwa la mwisho mbaya unaohuzunisha na kusikitisha.....haya tuisake na kisha tuje kuona huo mchanga wa macho ulimuingia nani?!!!


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.