Shindano la Big Brother Africa 3 iloo!!
Fomu za kushiriki katika kinyang'anyiro cha Big Brother 3 zimeshaanza kutolewa kwa wale wenye vigezo muanze jiandaa
shindano hilo ambalo linafanyika kwamara ya tatu kwa sasa hufanyika nchini afrika ya kusini ambako washiriki huka ndani ya jumba hilo kwa miezi kadhaa huku wadau wakiwapigia kura ya nani atoke na nani abaki
Taji hilo ka sasa linashikiliwa na mtanzania Richard Buzuidenhout aliyewafanikiwa wapiga vikumbo wenzie mwaka jana
Richard kwa sasa yupo nchini Nigeria akiendeleza fani yake ya utengenezaji wa filamu, huku Tatiyana 'wifi' akiwa anakuja nchini
Habari zisizo rasmi zimedai Richard ametolea nje shavu alilopewa la kumsindikiza muangola huyo katika ziara yake ya hapa nchini...huku wadau wakidai kuwa Tatyana alichangie ushindi mkubwa wa Richard kunyakua kitita hicho we wasemaje?!!

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala