Tafuta DHWTangazaTuandikie
Mahabuba iyooo!!




Ile filamu ya Mahabuba iliyopikwa na waigizaji maarufu iko njiani kuingia sokoni siku za karibuni

Akiongea jijini meneja wa kampuni ya Bulls Haji Adam maarufu Baba Haji ambao ni wasambazaji wa filamu iyo wamesema siku yoyote itaongia mtaani

Filamu hiyo imeigizwa na wasanii kama JB,Richie na Rose Ndauka walee waliowarusha kwenye filamu ya Swahiba

Kwa ufupi filamu iyo ni ya mapenzi ambapo mrembo Rose anawachanganya marafiki Richie na JB kwa 'kuwagonganisha' kimapenzi....naona masuala ya Swahiba yamejirudia.

Movie ilo limetungwa na Single yaani Richie na kuongozwa na John Kallaghe na Script imeandikwa na Ali Yakuti.

Haya yetu machooooo


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.