Tafuta DHWTangazaTuandikie
Mchakato wa Film waanza!

Kazi ya kuanza kuhakiki filamu zitakazoingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya Vinara wa Filamu nchini ‘Vinara Film Awards’ imeanza rasmi.



Hayo yaliwekwa wazi na mmoja wa waratibu wa Tuzo hizo na kudai kuwa kwasasa washaanza mchakato wa kuzipitia filamu hizo moja baada ya nyingine ikiwa ni hatua ya awali ya kuwasaka washindi na kuzitaja baadhi ya filamu zinazofanyiwa kazi mpaka sasa kuwa ni Crying Silently ‘Kilio Moyoni’, Kolelo, Mwanahiti, Zawadi ya Fisadi, Oloboni na Layoni, Mmera ‘Jando’,Nyamaume..Sumu ya Moyo, Segito, A Point of no Return I, A Point of no Return II, Dar to Lagos, Cross my Sin, Penina, Habari Kubwa, Fake Pastor, Chite Ukae, Surprise, Stranger, Fungu la Kukosa, Sea Man, Mzee wa Chabo, Donda Ndugu, I Love You, Miss Bongo I, Miss Bongo II, Revenge, Behind the Scene, na My Wife.

Nyingine ni My Sisters I, My Sisters II, Machozi ya Nyamoma, Silent Killer, My Wife, Greena, Kiapo cha Damu, Valentine, Mwana Pango, Utata, Yolanda, Picnic, Uwanja wa Dhambi, Misukosuko II, Copy, Lugha Gongana, Mtoto wa Mjini, Nyuma ya Pazia, Macho Mekundu, Tanzia, Welcome Back, Karibu Paradiso, Swahiba, The Game of Love I, The Game of Love II na The Game of Love III.

Alizitaja nyingine kuwa ni Mahabati, Security, Itunyama, The Body Guard, Agano la Urithi, Ndani ya Gereza, Simu ya Kifo, My Heart, Malipo ya Kisasi I, Malipo ya Kisasi II, Mpasuko wa Moyo I, Mpasuko wa Moyo II, Kisasi na Diversion of Love.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2008 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.