Aliweza kutembelea Hospitali ya Amana huku akiambatana na warembo wanaoshiriki shindano la Kisura, litakalowika hapo Machi 12 mwaka huu hapa Jijini. Kwani matembezi hayo ya Raisa wa Kampuni ya RBP Group Rahma Al-Kharoos na Visura hao, yalikuwa ni ya kutoa msaada wa chakula kwenye Hospitali hiyo ya Amana.
Washiriki hao wa Shindano hilo la Kisura, waliweza kujichanganya kwa pamoja...