Fenicha za chuma
Fanicha za chuma ni chuma ambazo zinatengenezwa kwa ustadi mkubwa na kuna mapambo ya aina mbalimbali.
Fanicha hizi nyingi zimekuwa zikitoka nje ya nchi. Lakini kwa sasa watanzania tumeendelea na tunazitengeneza hapa hapa kwetu Tanzania.
Tumekuwa tukizidharau ila ninachotaka kusema kuwa fanicha hizi ukilinganisha na zingine ambazo nyingi ni za mbao, hua hazileti panya ndani wala wadudu waharibifu.
Na kwa upande wa kupendezesha nyumba, hufanya nyumba inakua safi na muonekano mzuri, kwani ni rahisi kufanya usafi kila siku chini ya uvungu.
Fanicha hizi yaweza kua ni
* Kitanda
* Chuma za mapazia
* Meza ya chakula,na ya sebuleni ndogo
* Vikabati, vya chooni, jikoni etc na sehemu nyingine nyingi
Imendaliwa na Sylvia wa blog ya Homez Deco

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala