THE END OF LOVE
Muongozaji::Juma Kilowoko
waigizaji:: <.b>Juma ,Magali
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho, hilo linafahamika lakini inakuwa ni jambo gumu sana pale linapokufikia, Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, Mapenzi yanafanya nafsi ya mwanadamu kufanya hata asilokusudia bado kuna swali gumu lisilojibika.Nini maana ya mapenzi? sasa ukitaka kupata jibu la swali hilo ni pale inapofikia mwisho wa mapenzi, kati yako na yule uliyetokea kumpenda kwa dhati

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala