Share |

news

Imeweza kukamilika kwa kufanyiwa umahiri zaidi ndani ya miezi mitano, na wataalamu mbalimbali na inatarajiwa kupaishwa hewani mwanzoni wma mwezi Machi mwaka huu. Si nyingine bali ni ile Tamthilia ya Millossis, iliyoaandaliwa na Tuesday Entertainment ya Jijini huku ikirekodiwa kitaalamu zaidi.

Naye Mkurugenzi wa Tuesday Entertainment Tuesday Kihangala (Mr. Chuzi) alisema kwamba ...

Aliweza kutembelea Hospitali ya Amana huku akiambatana na warembo wanaoshiriki shindano la Kisura, litakalowika hapo Machi 12 mwaka huu hapa Jijini. Kwani matembezi hayo ya Raisa wa Kampuni ya RBP Group Rahma Al-Kharoos  na Visura hao, yalikuwa ni ya kutoa msaada wa chakula kwenye Hospitali hiyo ya Amana.

Washiriki hao wa Shindano hilo la Kisura, waliweza kujichanganya kwa pamoja...

Si mwingine bali ni yule muigizaji wa Filamu za hapa nchini Wema Sepetu, ameweza kurudi kutoka nchini Marekani na sasa yupo kwenye maandalizi ya filamu yake mwenyewe. Yeye mwenyewe ndiye Mtayarishaji na Muigizaji tofauti na siku za nyuma kwenye Filamu hiyo, ambayo bado hajaipa jina  kwani iko mbioni kuanza kusukwa wakati wowote na ndiyo atalianika jina la filamu hiyo.