Share |

Sandwitch ya mchele

mahitaji: 

Unga wa mchele 1/4kg
Unga wa ngano 1/4kg
Sukari 1/4kg
Siagi 1/4kg
Mayai 4

Maziwa 4 vijiko vikubwa.
B.P 1 kijiko cha chai

Namna ya kutengeneza

-Saga sukari na siagi.
-Tia mayai yaliyopigwa vizuri halafu tia maziwa.
-Nyunyiza unga wa ngano uliochungwa na mchele.
-Tia B.P katika vibati viwili vya sponge cake vilivyopakwa siagi
-Choma ukipenda paka jam baina ya katikati mbili.

Kwa hisani ya  Maimuna Kubegeya