Share |

Darasa - Sikati Tamaa

Darasa
Sikati Tamaa

even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata

mfano mi nimelelewa kwenye mtaa
sio wale wa "mommy im growing i need to use your car"
baba yangu alimpata mdau, kaachwa mama kwenye mataa
kawekwa ndani kama mwali na mwanamke kisa njaa
Mungu kama kanisahau, ila bado naomba dua
Nashkuru, kwa nafasi mdogo mpaka nakua
kwenye amani ya mkopo, Mapenzi ya kununua
Utaniliteaga mimba hata godoro sijanunua
Watoto wa siku hizi ndo maana mengi wanayajua mapema
Maana wanacheza walichoona kwenye Sinema
Mageziti kila siku ni ya Diamond na Wema
Wakati mtaani kuna vitu vingi vya kusema
Oh my God!, wear miwani niione vyema dunia
Sijutii, kuwa mtaani na sjapanga kuikimbia
Amani kwenye njaa ka maisha ya Mtanzania
Na refer anaita kati na mfungaji kavizia
God damn!

even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata

Yeah
Navuja jasho, bado Pesa ni nyekundu tu
nna'window 'shopper' kwenye duka la maisha ya juu
mautundu jua uskaripie level kaza full
uskate tamaa ukaacha uhalisi
watu hushonea department officially ya jamii
usizikodi apartment kamjengee mama jonii
ukiacha nilipofikia ni kina nani watu wa dunia
uliposhika shikilia more peace kwa familia za wahanga
pole mtanzania kaza na usichoke kuzipanga
ukijituma kupangua vipindi baridi kali na kwa jua tukiungua
kinachowaumbua ukweli, kitaa chote kinaujua
usikate tamaa iwe nuru kwa kizazi
hiki ambacho kweli naogopa wanasiasa wanapewa ngazi
chapa kazi, jenga msondo niongoe makwaito ni sauzi
kazwa na kitu yako mashauzi mwachie '.ish'
The river camp kwa maisha na hizi ndo simulizshi

even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata

Other Lyrics

Professor Jay
Quick Rocka
R.O.M.A
Jay Moe