Tumeona kilimo chetu kikijaribu kujikongoja toka kilimo cha jembe la mkono mpaka kuelekea kwenye matrekta, kwa miaka hasini hiyo je tulipaswa kuwa hapaa

Share |

Soko la matikiti

Silver Kavira

Mimi namelima matikiti Ifakara Mkoa wa Morogoro. Tatizo letu kule ni soko la uhakika. Kwa sasa hivi ninatazamia kuvuna ekari moja wa matikiti kati nya tarehe 17 na 23 Novemba. Kwa soko la Ifakara mavuno hayo ni mengi sana lkn endapop kutakuwa nna wanunuzi toka nje nfano Dar hii itakuwa heri. Naomba nisaidiwe kupata wanunuzi kutoka Dar. Pili iwapo itawezekana niwasiliane na wachuuzi wa uhakika toka Dar. Ili tuwe na mahisiano ya mimi kuhakikisha matiukiti yanapatikana Ifakara na mchuuzi anakuja kununua Ifakara.

Mawasiliano: silver.kavira@gmail.com

Comments

Post new comment