Kama kijana wa kitanzania, miaka hamsini baada ya uhuru, Je tumepiga hatua ktk swala zima la Elimu?
Kama kijana wa kitanzania, miaka hamsini baada ya uhuru, Je tumepiga hatua ktk swala zima la Elimu?
Watoto wengi wananaendelea na masomo hadi elimu ya juu lakini wanaki tengemezi.Kwa sababu uwezo wao wa kujenga picha ya kile wanachofikri eitha haupo ama wanamaliza shule ukiwa haujajengeka. Elimu lazima mpatie mtoto uwezo wa kujenga picha inayotunzika kama kumbukumbu.Picha ambayo pia inaweza kukua ama kuwa kitu kamili pindi inapowekwa katika matendo.Japokuwa hili linaweza kuwalazimu walimu kujenga uwezo wao zaidi kwa kupima maendeleo ya watoto wao kimaarifa.Walimu watahitaji kuw na mtizamo endelevu wa kuweza kuwajenga watoto mara wanapokuwa wanajifunza. Hebu tuazie hapa tuone nini muelekeo.
Comments
Post new comment