Miaka hamsini baada ya uhuru ni kweli tumeona mengi kuna barabara,madaraja, reli na mengine mengi tu yamejengwa na serikali yetu. Lakini je kwa umri huo tuliofikia tulipaswa kuwa mbele zaidi au tujivunie hapa tulipofikia

Share |

barabara

Gwagwarino

Kwa upande wa barabara, TZ wamejitahidi. Mkazo unatakiwa kwa wakandarasi kuangaliwa barabara zitengenezwe kwa kiwango kinacho takiwa,,