Kama kijana, Miaka hamsini baada ya uhuru unaichukuliaje siasa ya nchi hii! Je unadhani ni tuna siasa safi au vinginevyo? na kama ni vinginevyo je una mchango gani ili tufike tunakostahili

Share |

Ukomo wa uongozi

Hatibu Mkabara

Sisi kama vijana tuna changamoto kubwa ya ajira ingawa tuna elimu ya kutosha, Ni kwamba walio madarakani watambue uongoz una ukomo, kwan imekua ni nadra mno kwa viongoz wetu kujiuzulu au kukaa pembeni kuachia changamoto mpya hata kama wameshindwa kutekeleza wajibu wao hawashaurik na hawaambiliki!?.

Comments

Post new comment