Miaka hamsini baada ya uhuru kama kijana mzalendo, unaluzungumziaje swala la uongozi bora katika taifa hili! Je ni kweli tunao au bado tunahangaika tu
Miaka hamsini baada ya uhuru kama kijana mzalendo, unaluzungumziaje swala la uongozi bora katika taifa hili! Je ni kweli tunao au bado tunahangaika tu
Uongozi bora si kusema ni kutenda,waliopo hawatendi na hawana mpango wa kutenda.
Uongozi bora ni kumaanisha waliopo hawamaanishi
Uongozi bora ni kuumia na matatizo ya watanzani,waliopo shida zetu ni shangwe,kama hawajui chazo cha umasikini..........hawawezi kuuondoa
Uongozi bora ni kwenda walioko wapiga kura,wabunge wetu kutwa wako Dsm........
......FUTA HILO NENO LA UONGOZI BORA KWENYE KAMUSI YAKO YA MDOMONI NA VITABUNI
Comments
Uongozi bora NI UZALENDO HALISI WA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MANUFAA TAIFA NA WANAINCHI,NA WALA SIO KWA MANUFAA YA BINAFSI.
Post new comment