Mengi yamekuwa yakisemwa kuhusu kupanda na kushuka kwa uchumi wa taifa hili, ilihali wananchi pamoja na juhudi zao zote za kujitafutia maendeleo wamekuwa hawauoni moja kwa moja uchumi huo mifukoni mwao. Je nini maana ya kupanda kwa uchumi kwa mwananchi wa kawaida
