SALA YA SHAROBARO
Niaje dingi letu uliye majuu,jina lako lipewe maflag ya kufa mtu,ufalme wako utuibukie kiaina,unachotaka kifanyike dunian kiwe mzuka kama huko maskan kwako,utuletee leo misosi ya kumwaga,mabaga na mazagazaga kibao,tuchukulie poa tukichemka kama nasi tunavyowapotezea waduwanzi wetu wakituzingua,usitubwage ktk zali bali utung'atue kwa yule mwana haramu!kwa kuwa uko juu kinoma,una mapawa na maujanja kibao.amen







