
1. Mimi wa kwanza ndio kidogo wowo kubwa magreth from mbezi beach
2. huu ni usawa mbele ya haki ya kujisaidia
3. Aya kaka, chaguo ni lako-unataka wa England, france, scotish, germany, swiss, sweden au wote?
4. Usione tumependeza ukafikiri mademu? Mamen wageuka mademu.
5. Sema mwenyewe, nani ana boneti kama beyonce?. ADO
6. Haki sawa...Ila mjiangalie kama hamjajikojolea kwani mmezoea kukaa..PM
7. hawa ni transexuals,sema bado hawajakatwa mamboro-chapombe
8. hiyo mbona poa tuu ndio mambo ya utandawazi by kb moro
9. hakuna kushangaa hapo wala kujiuliza,hayo ni mambo ya jinsia two mwanawane. Nao wana haki ya kutumia urinal za kimen
10. Nani kasema eti watu weupe hatuna ''bambataa''!!! Shauri.
11. kina mama mnataka usawa mpaka hata kukojoa-Jamrock